Tume yashiriki Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Tume yashiriki Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
19 Jun, 2025

Tarehe 17 Juni 2025, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.George B. Simbachawene amefungua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.
Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma ni miongoni mwa Taasisi zinazoshiriki Maadhimisho hayo na kutoa Elimu juu ya Majukumu yake ambapo yatahitimishwa tarehe 23 Juni 2023