Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

MRADI wa Ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma unaendelea katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma na Mkandarasi Kampuni ya CRJE (E) Ltd ameahidi kukamilisha mradi ndani ya wakati, Septemba 2024 MAKAMISHNA wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Immaculate Ngwalle (kushoto), Mhe. Khadija Mbarak (katikati) na mhe. Susan Mlawi (kulia) wakitembelea Mradi wa jengo la ofisi ya Tume katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. MWENYEKITI wa Tume Jaji mstaafu mhe. Hamisa H. Kalombola (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Makamishna wa Tume na Watumishi wanawake wa Tume Jijini Dodoma Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Tume walioshiriki pamoja katika ziara ya Makamishna wa Tume kutembeleamradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume, Mji wa Serikali Mtumba -Dodoma Mwenyekiti wa Tume Jaji mst. mhe. Hamisa Kalombola (kushoto) akifafanua jambo wakati wa kikao na wawakilishi kutoka CRJE na TBA (hawapo pichani) baada ya ziara kuangalia ujenzi wa Ofisi ya Tume, kulia ni Bw. Mathew Kirama, Katibu wa Tume www.psc.go.tz

Karibu Tume ya Utumishi wa Umma

 

Tume ya Utumishi wa Umma imeundwa chini ya Kifungu Na. 9(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298. Tume ilianza kufanya kazi rasmi tarehe 7/1/2004 baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuteua viongozi ( Mwenyekiti, Makamishna na Katibu wa Tume) kusimamia utendaji wake.

Kazi kubwa ya Tume ya Utumishi wa Umma ni kufuatilia na kusimamia uendeshaji wa shughuli za Rasilimali watu katika Taasisi za Umma na kuhakikisha kuwa Utumishi wa Umma unaendeshwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu.

Tume ya Utumishi wa Umma inaendelea kushirikiana na wadau wake wote ili kuhakikisha kuwa U

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.