Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Dira, Dhamiri na Maadili ya Msingi

Dira

Kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni katika kusimamia Utawala Bora na kutoa huduma bora katika Utumishi wa Umma nchini Tanzania.

 


Dhamiri

Kusimamia na kuhakikisha kwamba Watumishi wa Umma, Waajiri, Mamlaka za Ajira na Nidhamu zinazingatia Sheria, Kanuni na Taratibu katika kusimamia masuala yanayohusu rasilimali watu pamoja na kushughulikia kwa wakati rufaa na malalamiko yanayowasilishwa Tume.

Maadili ya Msingi
  • Ubora wa huduma
  • Kufanya kazi kwa ushirikiano
  • Uaminifu na kutopendelea
  • Uwazi na Uwajibikaji
  • Ubunifu

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.