Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Katibu na Manaibu Katibu

Tume ya Utumishi wa Umma inaye Katibu ambaye huteuliwa na Rais. Katibu ndiye Mtendaji Mkuu wa Tume na Afisa Mhasibu.

Kwa mujibu wa Kifungu cha 15(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 18 of 2007, Tume ya Utumishi wa Umma ina Idara tatu zinazoongozwa na Manaibu Katibu. Idara hizo ni:

  • Idara ya Utumishi Serikalini (CSD)
  • Idara ya Utumishi wa Serikali za Mitaa (LGSD)
  • Idara ya Utumishi wa Afya (HSD)
 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.