Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Habari

Watumishi wa Tume watakiwa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi ili kuongeza tija katika utoaji wa huduma kwa wadau

Watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma wamehimizwa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi ili kuongeza tija katika utoaji wa huduma kwa wadau.

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.