Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu

04/12/2018

Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, uliofanyika Kitaifa katika ukumbi wa Kambarage, Jengo la Treasury Square Jijini Dodoma. Aliyekuwa Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa maadhimisho hayo ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt. (Mst) George Mkuchika (Mb). Wadau mbalimbali wameshiriki katika ufunguzi huo wakiwemo watumishi wa Umma na wananchi. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.