Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Miaka 19 ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwl, J.K. Nyerere

05/10/2018
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) pamoja na watumishi wote wa Tume ya Utumishi wa Umma wanaungana na Watanzania wote katika kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Katika kuenzi na  kudumisha maadili, amani na uwajibikaji, Tume taendelea kuwa Taasisi ya kiwango cha juu katika kusimamia Utawala Bora na kutoa huduma bora katika Utumishi wa Umma.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
2018 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.