Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mkutano wa Tume ya Utumishi wa Umma Na. 2 wa mwaka 2017/2018

12 - 15 na 18 - 22/12/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yafanya mkutano wake Na. 2 wa mwaka 2017/2018. Katika mkutano huo, Tume imesikiliza na kutolea uamuzi rufaa 59 na malalamiko 4. Pia Tume imepokea na kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Majukumu yake na Taarifa za Ukaguzi Maalum wa Rasilimali Watu uliofanyika katika Taasisi 5 za Umma. Taasisi hizo ni Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Wakala wa Huduma za Ajira (TAESA). Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mahakama ya Tanzania na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA). 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.