Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Mdahalo kuhusu Maadili na Haki za Binadamu

30/11/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika mdahalo kuhusu Maadili na Haki za Binadamu uliofanyika katika ukumbi wa Hazina ndogo Mkoani Dodoma na kushirikisha viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wadau kutoka sekta ya Umma, Binafsi, wanafunzi wa shule za msingi na Waandishi wa Habari. Mdahalo huo ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Maadili na Haki za Binadamu ambapo Kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika Mkoani Dodoma.  
   

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.