Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Wiki ya Huduma kwa wadau

06 - 08 NA 10/12/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika Wiki ya Huduma kwa wadau iliyofanyika katika  Viwanja vya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mkoani Dodoma katika kuadhimisha Kitaifa siku ya Maadili na Haki za Binadamu. Mgeni Rasmi katika kilele cha maadhimisho hayo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.