Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu

27/11/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yashiriki katika uzinduzi wa maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu uliofanyika katika ukumbi wa Hazina ndogo Mkoani Dodoma na kushirikisha baadhi ya Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma na Waandishi wa Habari. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (Mb). 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.