Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Ugeni kutoka Taasisi ya kupambana na Rushwa Malawi na Mamlaka ya Mawasiliano Malawi

28/7/2017
Tume ya Utumishi wa Umma yatembelewa na Kamati ya Maadili ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Malawi na baadhi ya Maafisa kutoka Taasisi ya Kupambana na Rushwa Malawi. Wageni hao walipata fursa ya kubadilishana uzoefu wa utendaji kazi na Kamati ya Maadili ya Tume kuhusu namna ya kushughulikia masuala ya rushwa.  

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.