Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais

Tume ya Utumishi wa Umma

Tanzia

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Jaji (Mstaafu) Dkt. Steven J. Bwana, anasikitika kutangaza kifo cha Kamishna wa Tume, Alhaji MGENI MWALIMU ALI kilichotokea Jumanne tarehe 17 Mei 2017, katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.

Mazishi yanatarajia kufanyika kesho Alhamisi tarehe 18 Mei 2017, Zanzibar.

Habari ziwafikie Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), Makamishna na Sekretarieti ya Tume ya Utumishi wa Umma (Tanzania Bara), Tume ya Utumishi wa Umma (Zanzibar), Ndugu na Jamaa wote wanaohusika na msiba huu.

 

Kurasa za Karibu

Hakimiliki © 2014. Tume ya Utumishi wa Umma. Haki zote zimehifadhiwa.